Wasiliana nasi au tutembelee kanisani kwetu

Namna ya kufika kanisani

Kwa Dar Es Salaam;

Ukifika Kituo cha Dala dala cha Kimara Korogwe, panda gari au Bajaji au pikipiki au tumia usafiri binafsi kuelekea Kilungule Kupitia barabara ya Maji Chumvi, Kanisa lipo eneo la kwa Kampendeza umbali wa Kilomita 2.5 kutoka Korogwe. Kwa wale wanaotokea sehemu yoyote ile, ulizia T.A.G Kimara Kilungule kwa Mchungaji Kundael Matee.

Kwa Arusha;

Kanisa lipo sekei :jinsi ya kufika
Kituo cha mount meru unapanda na barabara ya halmashauri hadi big y. Mkono WA kushoto utaona kibao cha kanisa TAG SEKEI PARADISE TEMPLE.

Wasiliana Nasi

Mchungaji TAG, Kimara Kilungule:
Mchungaji: Kundael Matee
Namba za simu: 0655 914 141

Mchungaji Arusha – Sekei:
Mchugaji: Jonathan Kalulu
Namba za simu: 0768818301

Mwandishi wa vitabu:
Ndugu: Mbogo Nyakangara Kerenge
Namba za simu: 0763 547 281
Barua pepe: [email protected]
YouTube account: nguvuyasadaka (https://www.youtube.com/channel/UCW1nyCL8IGqHLF5HnlEIRGw)