Huduma hii ya neno la Mungu inalenga kufundisha neno kupitia vitabu mbalimbali, Makala na machapisho ambayo yametafsiri neno la Mungu katika Biblia. Kwa njia hii ya vitabu, machapisho mbalimbali, Makala ,mijadala pamoja na maswali na majibu vinalenga kuongeza uelewa juu ya neno la Mungu.
Neno la Mungu ni Mungu mwenyewe anaongea na wanadamu kupitia neno lake. Katika Yohana Mtakatifu 17:17; Yesu Kristo anasema habari ya kutakaswa katika kweli na hiyo kweli ni neno la Mungu. Kwa kutambua kuwa kweli inapatikana katika neno, tovuti hii ni mahali ambapo watu watakuja na kuijua kweli kupitia tafsiri sahihi za neno la Mungu.
Soma na pakua vitabu vyetu
NGUVU ILIYOPO KATIKA SADAKA ISIYO YA KAWAIDA by Mbogo Nyakangara Kerenge CPA (T)
Kwa mahitaji ya nakala ya kitabu na huduma ya mafundisho juu ya utoaji wa sadaka, wasiliana na mwalimu Mbogo Kerenge kupitia namba za simu: 0763547281 au kwa barua pepe: [email protected]
Pakua au soma nakala ya kitabu kupitia link hapo chini.
Pakua/Soma: Nguvu iliyopo katika sadaka isiyo ya kawaida
KARAMA ZA ROHO MTAKATIFU by Mbogo Nyakangara Kerenge CPA (T)
Pakua au soma nakala ya kitabu kupitia link hapo chini
Pakua/Soma: Karama za roho mtakatifu
KUSIFU NA KUABUDU by Mbogo Nyakangara Kerenge CPA (T)
Pakua au soma nakala ya kitabu kupita link hapo chini
Pakua/Soma: Kusifu na kuabudu
SOMO LA UBATIZO by Mbogo Nyakangara Kerenge CPA (T)
Pakua au soma nakala ya kitabu kupitia link hapo chini
Pakua/soma: Somo la ubatizo
NDOTO NILIYOOTA by Mbogo Nyakangara Kerenge CPA (T)
Pakua au soma nakala ya kitabu kupitia link hapo chini
Pakua/Soma: Ndoto Ya Kuzimu